pmbet

Winga Barca ashtakiwa wa kudanganya umri

Sisti Herman

March 13, 2024
Share :

Mashabiki wa soka nchini Hispania wamepanga kutuma ombi kwa shirikisho Real Federación Española de Fútbol (RFEF) kutaka kumfanyia uchunguzi kiungo wa klabu ya Barcelona Lamine Yamal wakidai amedanganya umri wa miaka 16 kama inavyoelezwa bali umri wake ni miaka 20.

Mashabiki hao wanaodhaniwa kuwa wa klabu hasimu na Barca, Real Madrid wamefikia hatua hiyo wakiwa na baadhi ya vithibitisho kama rekodi za shule za kinda huyo pamoja na machabisho ya magazeti kama jarida la Tribuna ya miaka iliyopita ambayo huonyesha rekodi za umri halisi wa Yamal.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet