Winga Mkongo wa Ihefu ajiunga Yanga
Sisti Herman
June 23, 2024
Share :
Tetesi za usajili kunako vyombo vya habari nchini Congo DR zinaeleza kuwa Winga wa Ihefu Emmenuel Lobota "Manu Bola" amejiunga na klabu ya Yanga miezi sita tu baada ya kucheza ligi ya Tanzania akitokea ligi ya Congo.
Manu Bola anakuwa mchezaji wa pili wa Ihefu kujiunga na Yanga kutokea Ihefu baada ya kipa Aboubakary Khomeiny.