Winga Stars atambulishwa Simba
Sisti Herman
January 17, 2024
Share :
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Edwin Balua kwa Mkataba wa miaka mitatu akitokea Tanzania Prisons.
Balua (23) ambaye alikuwa kwenye kikosi cha awali cha Stars kwenda AFCON anatumia zaidi mguu wa kushoto anaweza kucheza winga zote pia kucheza namba nane.