Winga wa Madagascar ahusishwa na vilabu vya Simba na Yanga
Eric Buyanza
July 6, 2024
Share :
Winga wa kimataifa wa Madagascar, Tendry Mataniah Randrianarijaona anahusishwa kujiunga na mojawapo wa vigogo vya soka nchini, Simba na Yanga.
Taarifa zinadadavua kuwa ukiacha Simba na Yanga klabu nyingine inayomuhitaji ni AS Vita ya Kongo.