Wirtz kwenda Liverpool unaweza kuwa uhamisho wa 3 ghali zaidi
Eric Buyanza
June 11, 2025
Share :
Florian Wirtz kwenda Liverpool unaweza kuwa uhamisho wa 3️ ghali zaidi wa wakati wote.
Neymar kwenda PSG - €222m
Mbappé kwenda PSG - €180m
Wirtz kwenda Liverpool - €150m*
Coutinho kwenda Barcelona - €145m
João Félix - €126m