Wizkid aweka rekodi mpya YouTube Diamond hana
Joyce Shedrack
March 12, 2024
Share :
Msanii wa kimataifa kutoka nchini Nigeria Wizkid ameweka rekodi ya kuwa msanii aliyefikisha watazamaji zaidi milioni 100 katika ngoma zake tano kwenye mtandao wa YouTube rekodi ambayo haijafikiwa na msanii yoyote Tanzania .
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.