Wolper azua gumzo kisa Harmonize
Joyce Shedrack
March 14, 2024
Share :
Msanii kutoka kiwanda cha filamu za bongo (Bongo Movie), Jackline Wolper amezua gumzo mtandaoni baada ya kumsifia msanii na bosi wa ‘Konde Gang’ Harmonize kwa kusema anajua kupenda na ana wivu sana.
Jambo hilo limewaibua wengi wakimkosoa na kusema si sawa kumsifia ex wake.
Fuatiliia zaidi kwenye video hapo chini.