Wydad wahamia kwa Pitso
Sisti Herman
March 22, 2024
Share :
Klabu ya Wydad AC ya Morocco ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo na kocha wa zamani wa Al Ahly na Mamelodi Sundwons Pitso Mosimane ambaye yupo nchini Saudi Arabia kunako klabu ya Abha ya ligi kuu Saudia.
Pitso ambaye mwezi Januari alijiunga na klabu hiyo ya Saudia hadi sasa amepata matokeo ya kawaida kwani kwenye michezo mitano kashinda miwili na sare moja na kupoteza miwili.