pmbet

Xavi abadili msimamo, Haondoki tena Barca

Sisti Herman

April 25, 2024
Share :

Mara baada ya kutangaza kuondoka mwishoni mwa msimu kunako klabu ya Barcelona, kocha Xavi Hernandez amebadili msimamo wake na sasa amethibitisha kubakia hadi mwisho wa mkataba wake mwishoni mwa msimu wa 2025.

"Mimi ni shabiki wa Barca, wakati nachukua mradi huu hadi sasa naona kabisa kuna sehemu sijafika ili niiache"

Siondoki tena, nimebadili msimamo wangu wa mwanzo, hata ningeondoka nisingechukua kiasi cha fidia ya kuvanjiwa mkataba kinachotajwa kwenye mitando"

Xavi amefikia uamuzi huo baada ya pia uongoza wa klabu hiyo kuonyesha nia ya kuendela kufanya nae kazi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet