Yamal ndo basi tena msimu huu, kurejea World Cup 2026
Sisti Herman
April 23, 2026
Share :

Msimu wa Lamine Yamal akiwa na Barcelona umeisha rasmi baada ya kuripotiwa kuwa na jeraha la misuli wa paja litakalomuweka nje ya uwa nja hadi mwisho wa msimu huku ikiripotiwa kuwa ana hatihati pia ya kucheza kombe la dunia 2026 akiwa na Hispania.





