Yanga, Azam waungana na wababe wengine robo fainali CRDB Bank FC
Sisti Herman
April 11, 2024
Share :
Baada ya ushindi wa jana dhidi ya Dodoma Jiji, klabu ya Yanga imejiunga na timu zingine 7 kukamilisha timu 8 zilizofuzu robo fainali ya kombe la shirikisho la TFF linalodhaminiwa na CRDB Bank na kujulikana kama CRDB FC .
Timu zilizofuzu robo faibali CRDB Bank FC;
Namungo
Geita Gold
Tabora UTD
Coastal Union
Ihefu
Azam FC
Mashujaa
Yanga SC
Droo ya robo fainali iitachezeshwa hivi karibuni.