Yanga kuanza na Tabora leo kembe la Shirikisho
Sisti Herman
May 1, 2024
Share :
Robo Fainali ya kombe la shirikisho la TFF linalodhaminiwa na CRDB Bank itaanza kutimua vumbi ambapo klabu ya Yanga itawakaribisha Tabora United kwenye dimba la Azam Complex Chamazi kuanzia saa 2 na nusu usiku.
Michezo mingine inayotarajiwa kufanyika leo ni;
Ihefu vs Mashujaa
Coastal Union vs Geita Gold
Je wananchi watatoka kwa warina asali wa Tabora?