pmbet

Yanga kufanya uchaguzi Mkuu wa Rais na Makamu wake Agosti 2.

Joyce Shedrack

June 24, 2026
Share :

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kalenda ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2026, ambao mchakato huo utaanza Juni 25, 2026 na kuhitimishwa kwa upigaji kura Agosti 2, 2026.
 


Kwa mujibu wa ratiba hiyo, Kamati ya Uchaguzi imeweka hatua mbalimbali zitakazowapa wanachama nafasi ya kushiriki kikamilifu katika kuchagua viongozi watakaoiongoza klabu hiyo kwa kipindi kijacho.

“Leo tuna agenda moja tu ambayo ni uchaguzi wa Yanga Sc, kama mnakumbuka hivi karibuni tulizindua uchaguzi wa matawi. Baadhi ya matawi yamefanya na mengine yanaendelea kwa wale ambao hawajaleta majina ya viongozi tunasisitiza kufikia 7 Julai wawe wamemaliza” Adv. Malangwe Mchungahela Mwenyekiti Kamati ya Uchaguzi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet