pmbet

Yanga kumaliza hasira za Mamelodi kwa Dodoma leo

Sisti Herman

April 10, 2024
Share :

Baada ya kuondolewa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa Afrika na Mamelodi Sundwons ya Afrika kusini kwenye hatua ya robo fainali kwa changamoto ya mikwaju ya penati, leo Wananchi wanaelekeza akili na nguvu zao zote kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho la TFF linalodhaminiwa na CRDB.

Yanga na Dodoma watashuka kwenye dimba la Jamhuri leo saa 2 usiku kwaajili ya mchezo wa hatua ya 16 bora wa CRDB Bank Federation Cup.

Je wananchi watarejesha matuamiani?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet