pmbet

Yanga na silaha mpya kwenye Set Pieces

Sisti Herman

August 25, 2026
Share :

 

Kwenye mechi 3 za Ligi kuu ya NBC, Yanga SC imefunga goli 11;

 > Namungo 1-2 Yanga SC
 > Yanga SC 4-0 Coastal Union

 > Yanga SC 4-0 JKT Tanzania

Kati ya hizo goli 11, goli 5 zimetokana na mipira ya kutenga, SET PIECES;

> Kona dhidi ya Namungo
> Freekick 3 dhidi ya JKT Tanzania jana
> Kona dhidi ya Coastal Union

Tafiti mbalimbali kwenye football zinaonyesha 30% ya magoli kwenye mpira wa miguu yanafungwa kwa SET PIECES, Yanga wanaishi utafiti huo kwa vitendo wakiwa na zaidi ya asimilia hizo magoli ya aina hiyo.

HAWAJABAHATISHA, mwanzoni mwa msimu walitangaza kuajiri kocha wa SET PIECES, Kagisho na sasa matunda yanaonekana.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet