pmbet

Yanga na Simba zilipokutana Kihistoria, Head to Head

Sisti Herman

April 16, 2024
Share :

Yanga na Simba zitachecheza mchezo wa ligi kuu ya NBC Jumapili ya Aprili 20 kwenye dimba la B.W Mkapa.

Haya ni baadhi ya mambo ya kihistoria kuhusu klabu hizo kongwe na watani wa jadi zinapokutana;

👉 Kukutana (Head to Head) - 137

- Simba kushinda - 41
- Yanga kushinda - 53
- Sare - 43
- Simba kupata hati safi (clean sheets) - 37
- Yanga kupata hati safi (clean sheets) - 46

👉 Kukutana kwenye ligi - 108

- Simba kushinda - 29
- Yanga kushinda - 38
- Sare - 41
- Simba imefunga mabao - 103
- Yanga imefunga mabao - 120

👉 Rekodi zingine

- Kukutana mara ya kwanza
• 7/6/1965
• Matokeo: Yanga 1-0 Sunderland
• Mfungaji wa bao: Mawazo Shomvi

- Ushindi mkubwa kati yao
• Simba 6-0 Yanga
• 10/7/1977

- Rekodi ya mabao mengi kwenye mechi 1
• Abdallah Kibaden
• Mabao matatu (hat-trick)

🔥 Next stop

🎮 Yanga vs Simba
🏟️ Benjamin Mkapa Stadium
🗓️ April 20 2024
🕰️ 16:00pm

Vyanzo viilivyotumika kukusanya taarifa na takwimu;

1. Global Publishers (Championi na Spoti Xra)
2. Shirika la utangazaji Tanzania (TBC)

✍ @sistiinho 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet