"Yanga ndio Baba lao kwenye Burudani hamtumezi" - Kamwe
Eric Buyanza
December 18, 2023
Share :
Afisa habari wa Klabu ya Yanga SC Ally Kamwe, amemjbu afisa habari mwenzake Simba Ahmed Ally...akimshutumu kuiga ufanyaji wa hamasa kabla ya michezo mikubwa...huku akijitapa kwa kusema "Yanga ndio baba lao kwenye burudani hamtuwezi"
Angalia video hapo chini;