pmbet

Yanga vs Mashujaa, nani kufa kishujaa?

Sisti Herman

February 8, 2024
Share :

Klabu ya Yanga leo itaikaribisha timu ya mashujaa ya Kigoma kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam mishale ya saa moja usiku.

 

Yanga waliopo kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo wanahitaji matokeo mazuri ili kuendelea kuweka tofauti kubwa na washindani wao kama Azam Fc na Simba huku Mahujaa wao wakipambana kutoka kwenye nafasi 2 za mwisho ili kujinusuru kushuka daraja.

 

Mengi kuhusu takwimu, mbinuna ufundi utayapata kwenye uchambuzi kabla na baada ya mchezo huu kupitia Channel ya Youtube ya PMTV.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet