pmbet

Yanga waalikwa kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar

Sisti Herman

June 3, 2024
Share :

Mara baada ya jana kutwaa Ubingwa kombe la Shirikisho la TFF Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wa klabu ya Yanga leo walialikwa mwaliko wa kuhudhuria kikao cha Baraza la wawakilishi Zanzibar.

Viongozi, benchi la ufundi na wachezaji wa klabu hiyo katika picha za pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Waheshimiwa Wabunge kwenye mualiko maalum wa pongezi za UBINGWA kwenye Baraza la Wawakilishi, visiwani Zanzibar leo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet