Kikosi cha Yanga kimeanza safari ya kuelekea Morogoro kwa ajili ya mchezo wa NBC Premier League dhidi ya wenyeji wao KMC. Mechi hiyo itapigwa Februari 17, katika dimba la Jamhuri Morogoro.