Yanga wamtambulisha Balla conte
Sisti Herman
July 18, 2025
Share :
Mabingwa wa lig kuu ya soka nchini Tanzania, klabu ya Yanga imemtambulisha rasmi kiungo Moussa Balla Conté kutoka klabu ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia kuwa mchezaji wao.
Kiungo raia Guinea anakuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa Yanga kwenye dirisha hili la usajili huku akitajwa kuwa mrithi wa Khalid Aucho aliyeripotiwa kuwa kwenye mpango wa kuondoka klabuni hapo.