Yanga wapoteza kwa Ahly ugenini
Sisti Herman
March 1, 2024
Share :
Klabu ya Yanga imepoteza mchezo wake wa rau di ya 6 ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika kundi D dhidi ya Al Ahly kwa 1-0, bao lililofungwa na Hussein El Shehat dakika ya 46 kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Cairo International Stadium, Cairo Misri.
Msimamo wa kundi D
Al Ahly alama 12
Yanga alama 08
CR Belouizdad alama 08
Medeama alama 04
Yanga na Al Ahly wamefuzu hatua ya mtoano.