pmbet

Yanga waweka bango kubwa Fire

Sisti Herman

April 23, 2024
Share :

Hata kama moja kati ya sifa za binadamu ni kusahau lakini sio haraka kihivi, Ikiwa zimepita siku 2 tu tangu wawafunge watani zao Simba, Wananchi klabu ya Yanga leo wameweka Bango kubwa linaloonyesha jumla ya matokeo ya dabi mbili za kariakoo za msimu huu ambapo Yanga wameshinda kwa jumla ya mabao 7-2.

Bango hilo lipo maeneo ya Fire, Kariakoo jiji Dar es Salaam.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet