Yanga yaachana na Ramovic
Sisti Herman
February 4, 2025
Share :
Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali ndani ya klabu ya Yanga zimeeleza kuwa, klabu hiyo imeachana na kocha wa Mkuu Sead Ramovic.
Taarifa hizo pia zimebainisha kuwa kocha huyo atatumia mchezo wa kesho dhidi ya Kengold kuwaaga mashabiki wa klabu hiyo kwenye mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara utakaochezwa kwenye dimba la KMC Complex jijini Dar es Salaam.
Endelea kufuatilia PMTV Tanzania kujua chanzo cha kocha huyo kufungishwa virago na wananchi.