pmbet

Yanga yaangukia kundi la kifo CAFCL

Sisti Herman

October 28, 2026
Share :

 

Timu ya Yanga imepangwa Kundi B lenye timu za Zamalek ya Misri, MC Alger ya Algeria na Club African ya Tunisia.

Kundi hilo limeonekana kuwa kivutio katika draw hiyo iliyopangwa nchini Misri kwenye Jiji la Cairo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet