Yanga yainyatia saini ya kiuongo Charve Sangana wa Maniema
Eric Buyanza
July 1, 2024
Share :
Taarifa zinanyapia kuwa uongozi wa Yanga umeanza kuifukuzia saini ya kiungo wa klabu ya AS Maniema kutoka DRC CONGO, Charve Onoya Sangana.
Kama Yanga wakifanikisha hili basi kiungo huyo mkabaji mwenye umri wa miaka 21 atakwenda kuungana na Maxi Nzengeli.