Yanga yajiandaa kupiga kwenye mshono
Eric Buyanza
July 5, 2024
Share :
Soka Siku chache baada ya kumsajili Clatous Chama, tetesi zinasema Yanga iko kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa mshambuliaji Jean Othos Baleke.
Taarifa zinasema mabosi wa klabu hiyo wameona Baleke ni mchezaji sahihi kumchukua kuliko Jonathan Sowah waliyekuwa wakimhutaji hapo awali.