pmbet

Yanga yalaani mashabiki wake kupigwa uwanja wa Amaan.

Joyce Shedrack

May 28, 2025
Share :

Uongozi wa Klabu ya Yanga umesikitishwa na umelaani vikali vitendo vya mashabiki wao kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika uliochezwa Tarehe 25/5/2025 katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar.

 

Sambamba na hilo klabu ya Yanga imewataka mashabiki wake kutokulipiza kisasi tukio hilo lililotokea na kutoa wito wa kuwakarabisha mashabiki wa klabu zote uwanjani timu yao inapocheza.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet