Yanga yamvuta C.E.O wa Kagera kuwa Mkurugenzi wa Mashindano
Sisti Herman
July 22, 2024
Share :
Klabu ya Yanga imemtambulisha aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Kagera Sugar na meneja wa klabu ya Singida Big Stars Ibrahim kuwa Mkurugenzi wa Mashindano wa klabu hiyo.
Akiwa na Kagera, Ibrahim aliongoza mradi wa klabu hiyo kubeba taji la ligi ya vijana chini ya miaka 20.