Klabu ya Yanga leo imemtambulisha Mpho Maruping kama mtaalamu wake mpya wa kuchambua video (Video Analyst).