Yanga yashusha mtaalamu wa viungo.
Joyce Shedrack
July 12, 2024
Share :
Klabu ya Yanga Sc rasmi imemtambulisha Sekhwela Seroto Mtaalam wa Tiba ya Viungo (Physiotherapist) kuwa sehemu ya klabu hiyo.
Seroto ambaye ni raia wa Afrika Kusini ataungana na benchi la ufundi la mabingwa wa Kihistoria Yanga kuelekea msimu mpya wa 2024/25.