pmbet

Yanga yawania saini ya Kagoma

Sisti Herman

April 17, 2024
Share :

Duru mbalimbali za habari zinaeleza kuwa klabu ya Yanga inaongoza mbio za timu zinazowania saini ya kiungo wa klabu ya Singida Fountain Gate Fc na timu ya Taifa Tanzania Yusuph Kagoma.

Kagoma kabla ya Singida alikiwasha sana akiwa na Gita Gold.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet