Young Boy atoka gerezani na msafara wa Helikopta kurudi nyumbani.
Joyce Shedrack
March 26, 2025
Share :
Rapa NBA Youngboy ametumia msafara Helikopta kadhaa kurudi nyumbani kwake “Real Salt Lake City, Utah” baada ya kuachiwa huru kutoka gereza la talageda lililopo mjini Alabama, Nchini Marekani .
Rapa huyo alikamatwa April mwaka jana kwa makosa ya dawa za kulevya lakini kukiri mashtaka ya kukutwa na silaha kinyume cha sheria na hivyo Novemba, 2024 alihukumiwa miezi 11 gerezani.