Yusuph Manji afariki Dunia
Sisti Herman
June 30, 2024
Share :
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa klabu ya Yanga na Mkurugenzi wa Makampuni ya Quality Group Limited na mfanyabiashara maarufu nchini Yussuph Manji amefariki dunia nchini Marekani alipokuwa akiendelea kwa matibabu baada ya kuugua kwa muda mrefu.