pmbet

Zack Orji apigania uhai wake, alazwa chumba cha wagonjwa mahututi!

Eric Buyanza

January 1, 2024
Share :

Muigizaji mkongwe nchini Nigeria, Zack Orji, ameripotiwa kulazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) cha Hospitali ya Taifa ya Abuja nchini Nigeria.
 

Taarifa zinasema muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 63 yuko katika hali mbaya na hii ni baada ya kuanguka chooni akiwa nyumbani kwake.

Kulingana na taarifa Orji hawezi kutembea wala kuzungumza na madaktari wanajitahidi ili kunusuru maisha yake.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet