pmbet

Zaidi ya watu 40 wanusurika kifo Abood ikiteketea moto

Sisti Herman

November 13, 2026
Share :

 

Zaidi ya abiria 40 wa basi la abiria mali ya Kampuni ya Abood lenye namba za usajili T
T285EAV Lillilokuwa likisarifi kutoka Dar es salaam kwenda Kagera wamenusurika kifo baada ya basi hilo walilokuwa wakisafiria kuteketea kwa moto.

Ajali hiyo imetokea leo Majira 11 Alfajiri katika Eneo la Isaka wilayani Kahama mkoani Shinyanga,kwa Mujibu wa Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na ukoaji wilaya ya Kahama SSP Stanley Luhwago amesema wamefanikiwa kuuzima moto huo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet