pmbet

Zaiylissa atangaza kufunga ndoa na Mr.Said.

Joyce Shedrack

February 18, 2026
Share :

Muigizaji Zaiylissa ametoa taarifa ya kuwa tayari amefunga ndoa na Mr.Said kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost video inayomuonyesha akiwa na mume wake katika hali ya kimahaba na kusindikiza na ujumbe "ALHAMDULILAH Official Mrs Said".

Haji Manara afunga ndoa ya tano na ZaiyLissa - Jambo FM Radio Tanzania

Ikumbukwe staa huyo kabla ya ndoa hiyo aliwahi kufunga ndoa zingine mbili ambazo zote zilivunjika huku mojawapo aliifunga na nguli wa michezo Haji Manara ambaye kwa sasa ni diwani wa Kariakoo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet