pmbet

Zanzibar Sports City kuwa tayari Disemba kwaajili ya AFCON 2027

Sisti Herman

January 6, 2026
Share :

 

Wakati Tanzania ikiendelea kujiandaa kuwa wenyeji wa michuano ya AFCON 2027 wameendelea kujenga viwanja vya kisasa kwa ajili ya michuano hiyo.

Ujenzio wa mradi wa Mji wa Zanzibar Sports mjini Fumba unajumuisha uwanja mpya wa kimataifa wa mpira wa miguu wenye viti 36,500 umeripotiwa kufikia asilimia zaidi ya 10.

Ujenzi huo unaendelea kwa kasi unatarajiwa kukamilika ifikapo Desemba.

Tanzania itashiriki kuandaa AFCON 2027 pamoja na majirani zao Kenya na Uganda.

Uwanja huo kwa sasa umekamilika kwa takriban asilimia 10. Mradi huu unasaidia AFCON 2027 na maendeleo mapana ya miundombinu kote nchini.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet