pmbet

Zanzibar yatwaa tuzo ya fukwe bora Afrika

Sisti Herman

July 23, 2025
Share :

 

Kisiwa cha Zanzibar, Tanzania kimetwaa kwa mara nyingine tuzo ya fukwe bora barani Afrika "Africa’s Leading Beach Destination 2025" kwenye tuzo za kwenye tuzo za World Travel Awards.

Huu ni mara ya nne wa kisiwa hicho kutwaa tuzo hiyo, kusherehekea uzuri wake wa kushangaza, utamaduni mzuri, na ushawishi unaokua katika utalii wa Kiafrika.

Utwaaji wa tuzo hiyo pia unaonyesha ari ya Zanzibar katika maendeleo na ubora, kuvutia wageni wa kimataifa na kukuza uchumi.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet