pmbet

Zawadi nilizopewa na Diamond mwaka jana zimezidi Milioni 200 !

Eric Buyanza

January 13, 2024
Share :

Akiongelea thamani ya zawadi alizopokea mwaka jana 2023 kutoka kwa mwanae wakati anajibu maswali ya mwandishi, Mama mzazi wa msanii Diamond Platinuz (Mama Dangote) anasema hana hakika sana lakini milioni 200 imepita.

Mama Dangote anasema baada ya zawadi hizo mwanae akaongea haya....
"Mama sasa hivi hatuna deni maana nilikuibia pete yako, hiyo midhahabu niliyokupa hatuna deni tumemalizana" 

Ikumbukwe kuwa wakati wa harakati za kutoka kimuziki Diamond anadai alliwahi kumuibia mama yake pete yake ya dhahabu ili apate hela ya kuingia studio.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet