pmbet

Zero brainer aingia top 5 ya wenye followers wengi Tik tok

Sisti Herman

February 13, 2026
Share :

 

Mtanzania @zerobrainer0 ni staa pekee wa tik tok kutoka Tanzania mwenye wafuasi wengi aliyepo kwenye Top 5 Afrika.

1. William Last KRM (Afrika kusini) 27.4 Million
2. Hakime L'ambassadeur (Guinea) 23.3 Million
3. Princess Sachiko (Afrika kusini) 20.5 Million
4. Alkaisr (Misri) 19.3 Million
5. Zero brainer (Tanzania) 18.7 Million

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet