pmbet

Ziiki wajibu malalamiko ya Diamond

Joyce Shedrack

April 19, 2024
Share :

Masaa machache baada ya Msanii wa bongo fleva nchini na mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz kutoa malalamiko yake kupitia mitandao yakle ya kjamii kwa kampuni ya kusambaza mziki ya Ziiki kwa kuizuia lebo ya Wasafi kuachilia wimbo wa Lavalava ngoma inayoenda kwa jina la KIBANGO uliokuwa utoke leo.

 

Kampuni hiyo imetoa majibu ya tuhuma hizo kupitia barua waliyoitoa kwa vyombo vya habari na kusema hawajuzuia wimbo huo kama Msanii Diamond anavyosema ila WCB ndio waliokiuka masharti ya mkataba unavyotaka wa kuwasilisha wimbo kwao wiki 3 kabla ya kutoka badala yake wao wamewasilisha wimbo huo tarehe 16.04.2024 kinyume na masharti ya mkataba.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet