Zijue nchi 10 zenye mabilionea wengi duniani
Eric Buyanza
June 21, 2024
Share :
Kwa mwaka 2024, rekodi zinaonyesha kuna watu 2,781 kwenye orodha ya Mabilionea ya Dunia iliyochapishwa na Forbes.
Mabilionea hao wanatokea kwenye nchi 78, huku Marekani ikiongoza kwa kuwa nchi yenye mabilionea wengi zaidi.
Marekani ina jumla ya mabilionea 813 ambao kwa pamoja wana thamani ya Dola trilioni 5.7.
Orodha kamili na nchi hizo;
1. Marekani
Jumla ya mabilionea: 813
Mtu tajiri zaidi: Elon Musk, $ 195 bilioni
2. China
Jumla ya mabilionea: 406
Mtu tajiri zaidi: Zhong Shanshan, $ 62.3 bilioni
3. India
Jumla ya mabilionea: 200
Mtu tajiri zaidi: Mukesh Ambani, $116 bilioni
4. Ujerumani
Jumla ya mabilionea: 132
Mtu tajiri zaidi: Klaus-Michael Kuehne, $39.2 bilioni
5. Urusi
Jumla ya mabilionea: 120
Mtu tajiri zaidi: Vagit Alekperov, $ 28.6 bilioni
6. Italia
Jumla ya mabilionea: 73
Mtu tajiri zaidi: Giovanni Ferrero, $ 43.8 bilioni
7. Brazili
Jumla ya mabilionea: 69
Mtu tajiri zaidi: Eduardo Saverin, $28 bilioni
8. Kanada
Jumla ya mabilionea: 67
Mtu tajiri zaidi: David Thomson na familia, $ 67.8 bilioni
9. Hong Kong*
Jumla ya mabilionea: 67
Mtu tajiri zaidi: Li Ka-shing, $37.3 bilioni
10. Uingereza
Jumla ya mabilionea: 55
Mtu tajiri zaidi: Michael Platt, $ 18 bilioni