Zijue video za Bongo Fleva zenye ‘views’ zaidi ya milioni 100 YouTube!
Eric Buyanza
April 5, 2024
Share :
Kama ulikuwa huzijui basi hizi hapa video za Bongo Fleva zenye ‘views’ zaidi ya milioni 100 YouTube
1. Yope Remix (2019) Diamond ft. Innoss’B (Views Milioni 226)
2. Waah! (2020) Diamond ft. Koffi Olomide (Views Milioni 154)
3. Inama (2019) Diamond ft. Fally Ipupa (Views Milioni 134)
4. Kwangwaru (2018) Harmonize ft. Diamond (Views Milioni 112)
Video ya wimbo SUKARI ya Zuchu ndio imefikisha ‘views’ Milioni 100 siku chache zilizopita.