pmbet

Zimwi la majeraha bado linamuandama Kylian Mbappe.

Joyce Shedrack

April 25, 2026
Share :

Mshambuliaji wa Real Madrid Kylian Mbappe siku ya Jana alipata majeraha kwenye mchezo wao dhidi ya Real Betis na kulazimika kutoka nje akishindwa kuendelea na mchezo. 

He couldn't sprint' - Worrying Kylian Mbappe injury update delivered by  Carlo Ancelotti after Real Madrid forward limps out of Atalanta win in  first half | Goal.com

Nyota huyo amepata changamoto kwenye misuli ya nyuma ya paja ya mguu wake wa kushoto na taarifa zinasema kuwa atakuwa nje ya uwanja kwa siku kadhaa huku Real Madrid wataangalia kama ataweza kurejea uwanjani ndani ya wiki ijayo.

 

Real Madrid wanatarajia kushuka dimbani wiki ijayo Mei 3 kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Espanyol kabla ya mchezo unaofuata kwenye El Clasico dhidi Barcelona.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet