pmbet

Zuberi Foba afungiwa mechi tatu na faini ya Milioni 2.

Joyce Shedrack

July 13, 2026
Share :

Golikipa wa Azam FC Zuberi Foba amefungiwa michezo mitatu pamoja na kutozwa faini ya TZS milioni 2 kwa kumshambulia mwamuzi baada ya filimbi ya mwisho kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Simba.
No photo description available.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet