pmbet

Zuchu ajimaliza kwa maneno mazito kisa 'birthday' ya Diamond Platnumz.

Joyce Shedrack

October 2, 2025
Share :

Staa wa kike muziki wa bongofleva kutoka kwenye lebo ya WCB Wasafi Mrembo Zuchu amemtakia heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa mume wake ambaye ni mmiliki wa lebo hiyo Diamond Platnumz kwa maneno mazito yaliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii.

MZEE WA UPUPU: Diamond, Zuchu picha lilianzia kwa dada mtangazaji |  Mwanaspoti

Zuchu ambaye ni mke halali wa nyota huyo wa muziki wa ameoneka kufurahishwa na uwepo wa Diamond kwenye maisha yake huku akimshukuru kwa kila kitu na kumtakia kila la kheri.

 

โ€œKama nilivyokuahidi kufanya uhisi moto kichwani na kukukera milele, pia nataka kukutakia Siku njema ya Kuzaliwa, shmugum wangu. Hii ni fidunia (sio fildunia) wala akhera, kwa hiyo we jiandae kisaikolojia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Nakupenda mume wangu, furahia siku yako huku ukikumbuka kuwa Wewe ni GOAT (Bora wa Muda Wote)... Na oh, nimekumbuka, tafadhali rudisha zawadi zangu! Tayari unanipata mimi, kwa hiyo huna haja ya zawadi zozote zile ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜‚โ€Ameandika Zuchu kupitia ukurasa wake wa Instagram.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet