Zuchu aufuta ukurasa wake wa 'Insta'
Joyce Shedrack
March 14, 2024
Share :
Kutoka lebo ya WCB Wasafi, mwanadada Zuchu ameshangaza wengi baada ya kuamua kufuta picha zote kwenye ukurasa wake wa instagram sababu zikitajwa kuwa ni kupisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Fuatilia zaidi kwenye video hapo chini.